WATAJENI WANAOTAKA KULETA FUJO-----SENYAMULE

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule, akifungua kikao cha viongozi wa dini alichokiitisha kwa ajili ya kujadiliana mambo mbalimbali ya mkoa wake, aidha aliwaeleza kuhusu mafanilio ya Serikali ya awamu ya sita katika kuwatumikia wananchi. amewahimiza viongozi hao kuwaeleza ukweli waumini wao jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , anavyowapenda wananchi ndiyo maana hivi sasa yupo kwenye kampeni tena ya kuwaomba kura azidi kuwatumikia ili waendelee kunufaika na uongozi wake,  Aidha amewaomba kuachana na wanaoshinda kwenye mitandao kuikosoa serikali na siku ya 29.10 2025 wajitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura. Nao viongozi wa dini walimweleza mkuu wa mkoa kelo  zao ambapo aliahidi kuzishughulikia mara moja.
Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Dkt. Khatibu Kazungu, akizungumza katika kikoa hicho




















Wakipiga picha ya pamoja baada ya kikao








 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA