RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUOMBA KURA NA KUWAOMBEA WAGOMBEA WA CHAMA CHAKE
Kampeni zinaendelea ambapo leo mgombea ubunge jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete akifanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara kuendelea kuomba kuungwa mkono ili kushinda Uchaguzi unakuja wa tarehe 29 Oktoba 2025 ametumia nafasi hiyo kukumbushana wajibu wa viongoz wa Chama na pia kukumbusha yale mahsusi ya Ilani ya Uchaguzi katika maeneo yao. Ambapo viongozi na wananchi wameendelea kuelimika na Kazi inaendelea.
Picha ni baadhi ya Matukio Kata ya Msata na Kiwangwa.





Comments
Post a Comment