RC . SENYEMULE AIPONGEZA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA KWA HUDUMA ZAKE
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma RoseMary Senyamule, akihutubia maadhmisho ya miaka kumi ya Hospitali ya Benjaini Mkapa yaliyofanyikia katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma leo. Maadhimisho hayo yaliambatana na kutolewa matibabu kwa wananchi waliofika hapo bure. Amewaomba wafanyakazi wa hospiatli hiyo kuendelea na moyo wao wa kujituma wakati wakiwahudumia wananchi kwani wanapata sifa kubwa hata mbinguni, amebainisha sifa za Hospiatli hiyo zimesambaa hata nje ya nchi jinsi wanavyojituma wakati wa kutoa huduma kwa wagonjwa." nawaomba msilewe na sifa mwendelee na huduma hizo kwani sifa hizi ni zenu na mkurugenzi wenu Serikali ya mama yetu kipenzi Dkt. Samia Suhulu Hassan ipo naninyi itawatimizia kila mnalolitaka ili kulahisisha utendaji kazi wenu".alisema Senyamule. Amewaomba wananchi wote siku ya 29.10.2025 kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura ili wamlejesha mtendaji mkuu wa nchi aendeleel kuwatumikia.
Madaktari wa hospitali hiyo wakiwapatia matibabu wananchi waliofika hapo bure
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Profesa Abeli Makubi, akipiga picha ya pamoja na jumuiya ya wanawake wa kundi la Samia mkoa wa Dodoma.
Madaktari wa hospitali hiyo wakiwapatia matibabu wananchi waliofika hapo bure
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Profesa Abeli Makubi, akipiga picha ya pamoja na jumuiya ya wanawake wa kundi la Samia mkoa wa Dodoma.
Comments
Post a Comment