Rais Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi hiyo Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Oktoba, 2025.


 


 


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi hiyo Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Oktoba, 2025.








  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, na Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Nchi hiyo Mhe. Floribert Anzuluni, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Oktoba, 2025.

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA