PROFESA MWAMFUPE AHITIMISHA KAMPENI KWA KUWAOMBA WANANCHI WAKAPIGE KURA
Mgombea Udiwani Kata ya Madukani Dodoma mjini profesa Davis Mwamfupe ambaye pia alikuwa Mstahiki Meya wa jiji hilo , akizungumza na wanahabari baada ya kuhitimisha kampeni zake alizofanya leo kutembelea wapiga kura katika eneo lake lote ambalo sehemu kubwa ni sehemu ya biashara na makazi kidogo. Akizungumza kwa kujiamini aliwaomba wananchi wa kata yake wajitokeze kwa wingi mapema kwenda kupiga kura baada ya kupiga na kulejea majumbani mwao kusubili matokeo, hakuna wa kuwazuia kupiga kura vyombo vya ulinzi na usalama vipo macho kwa lolote. "Nawaombeni wananchi wenzagu tujitokeze kwa wingi kwenda kukitendea haki chama chetu kuwachagua wagombea wote kwa kipindi cha miaka mitano tena ni CCM inayoaminika".alisema Mwamfupe. Profesa Mwamfupe, akizungumza huku akiwa amezungukwa na baadhi ya viongozi wa kata hiyo
Mwenyekiti wa CCM Kata hiyo, a,izungumza na wanahabari baada ya kuhitimishwa kampeni
Mwenyekiti wa CCM Kata hiyo, a,izungumza na wanahabari baada ya kuhitimishwa kampeni
Comments
Post a Comment