MWAKAGENNDA AMNADI MBUNBE WA KYELA NA KUMUOMBEA KURA DKT.SAMIA
Mbunge mstaafu Sophia Mwakagenda , akimnadi Mgombea ubunge jimbo la Kyela, Baraka Mwamengo (kulia) Mwakagenda ,aliwambia wananchi wa Kyela kwamba hakuna mwingine wa kumaliza matatizo yao ni viongozi wa Chama cha Mapinduzi ambao sasa wanawanadi ili wawaongoze kwa kipindi cha miaka mitano. " nawaomba mtuchaguliea mgombea urais mama yetu kipenzi mpenda watu mnyenyekevu msikivu mtu wa mungu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mbunge Baraka Mwamengo na Madiwani wetu. Baada ya mkutano huo kumalizika Mwakagenda alienda kuendesha mkuatno wa ndani wa mgombea jimbno la Mbeya Vijijini Patali Patali









Comments
Post a Comment