MWAKAGENDA MWENDO MDUNDO NA KAMPENI NYADA ZA JUU KUSINI
Mjumbe wa Kamati ya ushindi ya Njada za Juu Kusini Sophia Mwakagenda (kulia), akibadilishana mawazo na mgombea ubunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya Masache Njelu Kasaka (katikati) baada ya kumalizika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Matundasi Lupa. Mkutano huo ulihudhuliwa pia na Mwenyekiti wa UWT Taifa , Mary Chatanda. Akimuombea kura Rais Dkt, Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa jimbo hilo Kasaka, aliwaaomba wananchi wa imbo hilo kwamba sumu haionjwi labda kwa yule anayetaka kufa tuu, amewaomba wasifanye majaribio ya viongozi waliopo CCM wanatosha tuwachague kwa kishindo muda ukifika.
Msitishike na kelele zilizopo mtandaoni hizi ni watu waliojikatia tamaa na vishindo vya Chama kubwa CCM.



Comments
Post a Comment