MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YUPO IRINGA AKIKAGUA VIFAA VYA KUPIGIA KURA


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia moja ya masanduku ya kupigia Kura wakati alipotembnelea ghala la vifaa vya Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo  Mkoani Iringa jana. Jaji Mwambegele yupo mkoani humo kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na IN


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiangalia taa ambazo hutumika wakati wa kuhesabu kura pindi kituo kikikosa umeme wakati wa Uchaguzi wakati alipotembnelea ghala la vifaa vya Uchaguzi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Mkoani Iringa jana. Jaji Mwambegele yupo mkoani humo kukagua maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. (Picha na INEC).



 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA