MGOMBEA WA CCM AWAPAGAWISHA WANACCM NA MASHABIKI WA CHAMA HICHO JIJINI DODOMA LEO
Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Chadulu Jijini Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.
Wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Chadulu Jijini Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi za Chama hicho uliofanyika Chadulu Jijini Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.
Akiwa na wagombea ubunge wa majimbo ya mkoa wa DodomaAkiwanadi madiwa wa Dodoma
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Chadulu Jijini Dodoma kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 31 Agosti, 2025.























Comments
Post a Comment