MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WANANCHI VIWANJA VYA MAO ZEDUNG BAADA YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR
MATUKIO mbalimbali ya picha katika mkutano wa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akizungumza na Wananchi katika viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar, baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara.(Picha na Ikulu)















Comments
Post a Comment