RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA MAKAO MAKUU YA MAHAKAMA YA TANZANIA JIJINI DODOMA
.
Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya
Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi
wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma, tarehe
05 Aprili, 2025.
Taswira
ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa
Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe
05 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa
ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya
Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji tarehe
05 Aprili, 2025, Jijini Dodoma.
Comments
Post a Comment