MAKAMU MWENYEKITI WA CCM, WASIRA APOKEA TAARIFA UTEKELEZAJI ILANI YA CHAMA HICHO JIMBO LA ILALA


Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara. Stephen Wasira akizungumza na Viongozi na Wajumbe wa Mkutano Mkuu  leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Stephen Wasira akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Moka wa Dar eś Salaam Ndg. Abasi Mtemvu leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila akizungumza na Viongozi  wa CCM leo April 05, 2025 katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam

Mbunge wa Jimbo la Ilala Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu  akizungumza na Viongozi  wa CCM leo April 05, 2025 akiwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimbo la Ilala Jijini Dar Es Salaam

Viongozi na wajumbe wa mkutano Mkuu jimbo la Ilala wakifuatilia Mkutano huo

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA