WAZIRI MHAGAMA AZINDUA BODI YA WAKURUGENZI YA MFUKO WA NHIF JIJINI DODOMA

Waziri wa Afya Jenista Mhagam, akizindua bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, uzinduzi huo ulifayika jijini Dodoma leo, akizungumza katika uzinduzi huo aliitaka bodi hiyo iliyojaa wajuzi kusimamia vyema marekebisho ya mfuko huo , aidha wawe wabunifu wa kuufanya mfuko huo unakuwa na huduma bora zaidi na upendwe na kila Mtanzania. "sina wasiwasi na wajumbe wa bodi hii kuanzia kwa Mwenyekiti wake ni zamu yenu sasa kuwaonyesha Watanzania kwamba mpo katika mfuko huo siyo kwa bahatai mbaya bara kwa uchapa kazi wenu uliotukuka ndiyo umewafanya muwe hapo", alisema Waziri huyo

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Elibariki Kingu, akizungumza katika hafla hiyo

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo, Dkt. Irene Isaka, akizungumza katika uzinduzi huo amesema Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ( NHIF), umepanua wigo wa kuwahudumia wateja kwa kuwa na zaidi ya vituo 10,000 nchini kwa ajili ya kuhudumia wananchi, Dkt. Isaka  ametaja moja ya faida ilizopata NHIF, tangu alipojiunga na mfuko huo kuwa ni kuongeza nakisi kutoka zaidi ya shilingi.bil. 40 hadi shilingi. Bil. 112 inayoweza kuhudumu zaidi ya mwaka mmoja.




Wasanii wa Kundi la Mpoto wakitoa burudani
Baadhi ya mameneja wa mfuko huo nchini wakiwa katika uzinduzi huo


Msanii Mpoto akitoa Burudani









Waziri Mhagama, akiwa katika Picha ya pamoja na wajumbe wa mfuko huo wakiwa na mabegi yaliyojaa nyarakai  za kutendea kazi







Waziri Mhagama, akiagana na Mwenyekiti wa Bodi  ya mfuko huo baada ya kuizindua

 

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA