WAZEE NI TUNU YA TAIFA ASEMA MAVUNDE

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma , na Mstahiki Meya wa zamani wa mji huo ambaye pia ni MC wa Taifa kama anavyojulikana  Peter Mavunde , akizungumza na wanahabari jijini Dodoma leo, pamoja na mambo mengine  aliwaomba wananchi hususan vijana nchini  kuwatunza wazee wao  ili wawaletee baraka kwa mwenyezi mungu. Hakuishia hapo mwenyekiti huyo ambae amesema anawanachama zaidi ya 100 katika Baraza lake, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwajali wazee pamoja na machif nchini na kuwapa hadhi ya kualikwa kila shughuli zinapofanyika za kitaifa na mikoa pamoja na wilaya, amewataka watanzania kuheshi,u mila na desturi za makabila yetu aidha mshikamano uendelee katika uchaguzi mkuu unaotalajiwa kufanyika mwakani nchi hii ni kioo cha amani Afrika  baadhi ya nchi zinakuja kujifunza hapa amani na mambo mengine. Baraza lake  linatalajiwa kuanza kupanda miti ili kuhifadhi mazingira nchini






 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA