RPC KATABAZI ATEMA CHECHE DODOMA KUELEKEA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) George Katabazi, akiwaonyesha wanahabari mapanga ambayo yamekamatwa katika msako wa kuelekea sikukuu  za Krismas na Mwaka mpya , ametoa onyo kwa wale wote wanaotaka kufanya uhalifu katika mkoa wa Dodoma,  chamoto watakiona na watajuta kuzaliwa  bora wakaachana na  tabia hiyo. Kamanda aliwaomyesha wanahabari zaidi ya pikipiki 30 zilizokamatwa na askari wake katika misako hiyo  Bastora moja  na lisasi zake iliyoibiwa  kwa mkazi wa Dodoma kisha kutelekezwa, gari moja na dawa za kulevya aina ya bangi zingine zikiwa zimefungwa kwenye paketi tayari kwa kuuzwa kwa watumiaji. Aidha amewapa onyo waendesha pikipiki ataanza kuwakamata wanaofanya bishara hiyo huku wakiwa hawavai kofia pamoja na abilia wao na wengine kuzifanya pikipiki ziwe  zinatoa mlio mkubwa kama wa gari wakati wakiwa wanaendesha.
Katabazi akionyesha silaha iliyokamatwa
Akionyesha  chombo cha kukatia makufuli  au nondo akigusa inaitika na mlango au dilisha




Kamanda akiwaonyesha wanahabari Bangi iliyokamatwa
Gari iliyokamatwa katika misako
Akibadilishana mawazo na wanahabari baada ya kumalizika mazungumzo


Tv, Redio, Laptop na Viti vilivyoibiwa




Pikipiki zikiwa kituoni hapo




 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA