WAZIRI WA TAMISEMI ATAGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, akiwasili katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwaajili ya  kutangazia matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchini jana. Chama cha Mapinduzi kimeongoza kwa ushindi  na kufuatiwa na Chadema.



Wanahabari wakichukua tukio hilo









 

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.