RAIS DKT SAMIA SURUHU HASSAN AAUNGANA NA WANACHAMWINO KUPIGA KURA ZA KUCHAGUA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Rais wa Dkt. Samia Suluhu hassan, leo ameungana na wananchi wa wilaya ya Chamwino kitongoji cha SOKOINE, kupiga kura za kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa. Upiga kura huo ulianza asubuhi majira ya saa mbili kamili na  Rais aliingia katika eneo hilo majira ya saa tano asubuhi na kuungana na wanchi kupanga foleni , akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura Rais alisema , Wananchi  wenye sifa wajitokeze, wasivunje amani wapige kura kwa maelewano siku ya leo itamalizika kwa salama Watanzania wote wawachague watu wenye uwezo wa kuwafanyia kazi.



Mzee wa mtaa wa Sokoine akipiga kura

Rais akiwa kwenye foleni ya kupiga kura





Mbunge wa jimbo la Chamwino Deogratius Ndejembi, akizungumza na wapiga kura wake




Rais akipewa karatasi za kupigia kura na karani wa uchaguzi kutoka TAMISEMI

Rais akipiga kura
















 

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA