Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakutana na maofisa wa Taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Timoth Mzava akibadilishana mawazo na wasaidizi wa kamati yake kabla ya kikao kuanza leo jijini Dodoma amabapo alikutana na Taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii, TAWA, Tanapa na Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji wa Nyuki Tabora (BTI)
Maofisa wa Wizara hiyo na Taasisi zake
Maofisa wa Wizara hiyo na Taasisi zake
Comments
Post a Comment