KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE UWEKEZAJI NA MITAJI (PIC) YATEMBELEA MAJENGO YA OFISI ZA WIZARA KATIKA MJI WA SERIKALI ENEO LA MTUMBA DODOMA KWA YANAYOJENGWA NA NHC
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)Augustine Vuma Holle (kushoto), akipokelewa na Uongozi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) baada ya kuwasili na kamati yake kwa ajili ya kutembelea ujenzi wa majengo saba ya wizara yanayojengwa na Shirika hilo eneo la Mtumba jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mary Masanja akisalimiana na wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamad Abdallah, baada ya kuwasili
Mkurugenzi huyo akiwaonyesha wajumbe hao jinsi ujenzi unavyoendelea ambapo hadi sasa umefikia asilimia 90.
Meneja Miradi wa Shirika la Nyumba NHC, Peter Mwaisabura,akiwaeleza wajumbe jinsi ujenzi unavyoendelea katika jengo la Wizala ya Mambo ya Ndani
Mkurugenzi Mkuu Hamad, akisisitiza jambo alipokuwa akiwatembeza kutembelea ujenzi huo
Mhandisi wa Shirika la Nyumba (NHC), Omar Chitawala, akiwaeleza wajumbe jinsi ujenzi unavyoendelea wa jengo la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mwenyekiti wa Kamati hiyo akizungumza na wanahabari baada ya kumaliza ziara yao
Mkurugenzi wa Shirika hilo Hamad, akizungumza na wanahabari baada ya wabunge kumaliza ziara yao

Comments
Post a Comment