PICHA ZA MATUKIO YA TAMASHA LA MAPISHI JIJINI MBEYA

S

Naibu Waziri wa  Nishati Judith Kapiga, akisikiliza maelezo toka kwa mratibu wa Tamasha la Mapishi kwa Mama na Baba lishe lililojulikana kwa jina la TULIA COOKING FESTIVAL 2024. lilifanyikia jijini Mbeya  na washiriki zaidi ya 100 waliweza kushiriki.Mshindi wa kwanza  alikuwa  Zuena Robison.



Mbunge Sophia Mwakagenda akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Gas Benoit Araman, wakati wakikagua mabanda kwenye tamasha hilo



Mama na Baba lishe wakisubili majaji kuwakagua
Washiriki wa Tamasha hilo wakimpokea mgeni rasmi









Vijana watano wa Kitanzania wanaosomeshwa na Dkt. Tulia Ackson nchini Nigeria, wakiwa stejini kwa ajili ya kujitambulisha




Mkurugenzi Mkuu wa Oryx Gas Benoit Araman, akihutubia katika Tamasha hilo

Washiriki wakicheza baada ya kufungwa



Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi  (CCM),Ndele Mwaselela, akihutubia


Naibu Waziri wa Nishati Wakili Msomi Judith Kapinga, akihutubia washiriki



Machif wa mkoa wa Mbeya wakipakuliwa chakula





Washindi wakipewa zawadi

Spika Dkt. Tulia Ackson, akimsikiliza mmoja wa washiriki wa Tamasha hilo kabla ya kumpatia zawadi








Naibu Waziri Kapinga akikumbatiwa na mshindi wa kwanza baada ya kutangazwa


Furaha ya Spika inapozidi kipimo baada ya kufanikisha Tamasha hilo








Spika akiteta jambo na Mbunge Mwakagenda





Spika T ulia akizungumza na wanafunzi anaowafadhili masomo nchini Nigeria




Spika Tulia akiwahutubia washiriki
 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA