MAKALA AWAVAA CHADEMA ASEMA WAMEISHIWA NA MANENO YA KUSEMA SASA WANAENEZA CHUKI NA UBAGUZI

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Amos Makala, akizungumza na wanahabari leo jijini Dodoma , ambapo alidai viongozi wa Chadema wameanza kueneza chuyki na uongo dhidi ya Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na kuifahamu katiba lakini wameamua kupotosha  huku wakielewa ukweli kwamba Rais Samia alichaguliwa na wananchi akiwa sambamba na marehemu Dkt John Magufuli. Amewaomba wananchi wawapuze hawana cha kusema sasa kwani Rais Samia anaupiga mwingi sasa hivi kila kona ya nchi anamwagiwa sifa za utendaji kazi uliotukuka acha waandamane watachoka nchi inasonga mbele.




 

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.