LEO ILIKUWA ZAMU YA MIKOA YA LINDI, ARUSHA NA GEITA KUOMBA BAJETI ZA MIKOA YAO KWENYE KAMATI YA TAMISEMI
Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge TAMISEMI, Dennis Londo, akizungumza leo katika mkutano wa kamati yake kwa ajili ya kuanza kujadili bajeti za mikoa ya Lindi, Arusha na Geita katika ukumbi wa bunge wa Anne Makinda, jijini Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, akisoma bajeti ya mkoa wake katika kikao cha kamati ya Kudumu ya bunge kilichofanyika leo jijini Dodoma.
Baadhi ya Maofisa wa mkoa wa Lindi wakifuatilia hotuba hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela, akisoma bajeti ya mkoa wake mbele ya kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI iliyokutana leo jijini Dodoma.
Maofisa wa Mkoa wa Arusha wakifatilia hotuba ya mkuu wao
Wajumbe wa kamati hiyo wakipitia vitabu vya bajeti katika kikao hicho.
Mwenyekiti Londo. akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na viongozi wa mkoa wa Geita ukiongozwa na Mkuu wao wa mkoa Martine Shigella
Martine Shigella (wapili Kushoto), na maafisa wake wakimsikiliza kw amakini Mwenyekiti wa Kamati Lon do
Mwenyekiti Londo akitanabaisha jambo
Wabunge wa majimbo ya mko huo wakiwa katika kikao hicho

Comments
Post a Comment