KINANA USO KWA USO NA MAKONDA

Makamu Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadiliana jambo
na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda
mara baada ya kufunga Mafunzo ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa, Wajumbe Wamefundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili
ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi hao kuwajibika kwa Chama na
Wananchi
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Siasa, Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda na mara baada ya kufunga Mafunzo ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Wajumbe Wamefundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi hao kuwajibika kwa Chama na Wananchi
Comments
Post a Comment