KIKAO CHA DHARULA CHA CHAMA CHA WALIMU CWT CHAFANYIKA JIJINI DODOMA.
Rais wa Chama cha Walimu Nchini (CWT), Komredi Leah Ulaya, akifungua kikao cha Kamati kuu ya chama hicho cha Dharula kilichofanyikia Makao Makuu ya chama hicho jijini Dodoma leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Japheth Maganga na Kulia ni Makamu Rais wa Chama hicho Suleimani Ikombe.. Kikao hicho pamoja na mambo mengine wameridhia maadhimisho ya miaka 30 ya chama hicho tangu kianzishwe Novemba 1.1993 kitafanyika mkoani Mwanza ambapo walimu zaidi ya Elfu 60 wanatarajiwa kuhudhuria.
Katibu Mkuu wa Chama hicho Komredi Japheth Maganga, akitoa maelezo kwa wajumb e wa kikao
Wajumbe wa kikao hicho wakiwa kikaoni
Meza kuu wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kikao
Katibu Mkuu wa Chama hicho Komredi Japheth Maganga, akitoa maelezo kwa wajumb e wa kikao
Wajumbe wa kikao hicho wakiwa kikaoni
Meza kuu wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kikao
Comments
Post a Comment