AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA
Naibu waziri wa fedha, Hamad Hassan Chande,.amewataka waumini kuendelea kuiombe amani nchi ya Tanzania ikiwemo kukemea kukiuka kwa madili ya kiafrika na kufuatwa kwa maadili ya nchi za maghalibi hasa katika kipindi hiki cha dunia kupolomoka kimaadili
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa IJITIMAI Kimataifa inayofanyika katika msikiti wa Gadaff jijini Dodoma.
Amesema amani ya nchi ni muhimu waumini na mashekh waisaidie Serikali kuombea amani kwani tupo katika nyakati za machafuko katika baadhi ya nchi tunazopakana nazo sisi Tanzania hatupo katika kisiwa. "Amani yetu tuilienda hata ikibidi kwa ncha ya upanga
Aidha amewaoba wafanyabiashara kulipa kodi kwani hiyo itainua Taifa, mnunuzi adai risti na muuzaji atoe risti, hakuna nchi iliyoendelea Duniani bila kulipa kodi
" waumini wenzangu tukiyazingatia hayo yote niliyosema nchi yetu itakuwa imepiga hatua kubwa, hakuna haja ya kuwindana kama wanyama msituni nani hajatoa risti tumkamate", alisema Naibu waziri Chande.
SHEIKH WA MKOA WA DODOMA MUSTAFA RAJABU, akitoa hutuba yake
Wageni waalikwa wakisikiliza hotuba za viongozi
Mhadhiri wa Kimataifa Shekh Amiri Lulu , akitoa hutuba ya Ijumaa leo katika msikiti huo
Shekh MUSTAFA RAJABU akibadilishana mawazo na waumini baada ya kumalizika swala
Msikiti wa Gadaff, waumini wakiigia na kutoka
Mjasiliamali kutoka Mpiji Majohe Dar es Salaam, Abdallah Hassan Kuikuwula, akizungumza na wanahabari wakati akipanga dawa zake aina ya Mwendokazi ambazo hutibu maradhi mbalimbali, amewaomba waumini wapitie katika banda lake kujipatia dawa hizo
Dawa za Mwendo Kasi
Mjasiliamali kutoka Nzuguni akiuza miswaki ya asili
Mjasiliamli, muuza dawa za kiasili kutoka mkoani Singida, Yusuf Ama, akipanga dawa zake pembezoni mwa msikiti wa , akitafuta wateja wenye mahitaji, dawa hizo mgonjwa akinywa huonyesha majibu hapo hapo
Waumini wa kike wakisikiliza hotuba za viongozi
Waumini wanawake wakisikiliza hotuba za viongozi
Muumini akisoma baadhi ya vitabu vinavyouzwa katika eneo hilo kwa ajili ya kununua

Comments
Post a Comment