RAIS DKT. SAMIA KATIKA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR LEO

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili
katika viwanja vya Paje kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi
(Usiku wa Samia) Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia
vikundi mbalimbali vya Sanaa vikitumbuiza kwenye Tamasha la Kizimkazi
(Usiku wa Samia) katika viwanja vya Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti,
2023.
Viongozi,
Wananchi kutoka sehemu mbalimbali nchini wakiwa kwenye viwanja vya Paje
kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) lililofanyika Paje
Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia
Simba wakati akikagua mabanda mbalimbali yaliyopo kwenye viwanja vya
Paje katika Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Zanzibar tarehe 30
Agosti, 2023.
Comments
Post a Comment