FUNDISHENI VIJANA WAKITOKA HAPA WAKAJIAJILI SERIKALINI AJIRA HAKUNA....DKT .MPANGO
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji, wakifunua kitambaa kuashiria ufungizi wa Kampasi na Majemgo ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya uliofanyika leo Akizungumza huku akimtazama Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Profesa, Edda Lwoga alimwambia wakati umefika sasa wa kwenda na Teknolojia haipaswi kukosa vitabu chochote cha kujisomea au kufundiashia katika chuo hiki kikubwa katika ukanda huu wa Afrika mashariki, vitabu vipo kwenye mitandao nendeni na wakati. "miaka ya nyuma kulikuwa na changamoto za kukosa vitabu kwa sababu hakukuwa na mitandao hata ile ya jamii", alisema Mpango. Naye Kaimu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Eda Lwoga, alisema Chuo cha Elimu ya Biashara ni Chuo cha Serikali kipo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara Kilianzishwa rasmi tarehe 21 Januari, 1965 kikiwa na Kampasi moja tu ya Da, Iringa na Lindi.r es Salaam, Kutokana na uhitaji wa elimu ya biashara na ujasiliamali Tanzania Chuo kilifungua kampasi ya Dodoma, Mwanza na sasa Mbeya . Pia chuo kinalengo la kufungua kampasi katika kanda na Maeneo mbalimbali ikiwemo Zanzibar , Arusha ,Iringa na Lindi.
Maka,mu akipongezana na Spika Dkt. Tulia Ackson Mwansasu baasa ya uzinduzi
Akitoka ,kukagua majengo
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt.Ashatu Kijaji, akizungumza katika hafla hiyo
Makamu Dkt. Mpango, akiwaaga kikund cha Hamasa cha jeshi hilo
Wabunge wa Kamati ya Biashara na Viwanda wakizungumza baada ya uzinduzi

Comments
Post a Comment