WAZIRI MKUU ATEMBELEA MABANDA YALIYOPO KATIKA MAONYESHO YA WIZARA YA NISHATI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa amevaa chombo cha kisasa akiangalia ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unavyoendelea mabpo umefika kwa asiliamia 90 kukamilika,  wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Waziri wa Nishati January Makamba, alipokuwa akilwelezea jinsi ya maonyesho hayo na faidia yake kwa wabunge na wananchi kwa ujumla wake
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati alipotembelea  maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,  Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba. 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nishati, January Makamba wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuja na Kushoka  Tools Manufactures Group, Leonard Kushoka (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Maofisa wa Wizara hiyo wakimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu alipokuwa akiwahutubia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akishuhudia Vocha aliyokuwa akionyeshwa na Waziri wa Nishati january Makamba kabla ya kukanidhiwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Nishati, January Makamba vocha itakayomwezesha  kuchukuwa mitungi ya gesi  ili kuigawa  kwa wananchi ikiwa ni uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi ya kupikia,  baada ya kutembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea maonesho ya Wizara ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Kulia ni Waziri wa Nishati, January Makamba.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa waanchi kutumia nishati mbadala badara ya kuni na mkaa ambapo mistu inateketea nchini na kusababisha uhalibifu wa mazingira na  uchafuzi wa miunombinu ya nchi.

Waziri Mkuu aliyasema hayo baada ya kumaliza kutembele Maonyesho ya Nishati yaliyopo katika viwan avya bunge jijini Dodoma, aidha amewasifu wajasiliamali wandelee kutoa ufumbuni ni nini kifanyike ili waondokana na matatizo ya kuni na mkaa wajikite katikakutumia Gesi tuu.

Aidha Waziri Mkuu, ameisifu REA kwa kuweza kusambaza Umeme kwa kiwango kikubwa nchini ,ametoa wito kwa wanacho wa nchi hii kuwa na tabia ya  kulipa bili inapofika nyumbani kabla ya kukatiwa kwani baadhi hawajafungiwa mita za kusoma mwezi unapokamilika anakuwa mgumu kuliapa huku bili kshatumia.

Waziri Mkuu, amesifu ubunifu wa Waziri wa Nishati january Makamba, kwa kuja na kipya kila mwaka , mwaka jana alikuwa na kitu kipya na mwaka huu anakitu kipya wamewao,ba wabunge kutembelea kwa wimngi maonyesho hayo ili kualiza changamotomza umeme zilizopo katika majimbo yao.

Naye Waziri wa Wozara hiyo, alisema kwaamba bado miaka miwili matatizo ya umeme yatakuwa historia katika nchi hii kwani uwekezaji wanaoufanya ni wa nguvu huku ukiungwa mkono kwa kiasikikubwa na rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA