RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI IKULU

WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu)
WAANDISHI
wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali
yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa
mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu).
WAKUU
wa Vyombo vya Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari na Wahariri wa
vyombo vya Habari, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 29-4-2023.
MKURUGENZI
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Ramadhan A Bukini
akizungumza wakati wa mkutano wa Wahariri na Waandishi wa vyombo vya
habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 29-4-2023.
Comments
Post a Comment