RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MASHINDANO MAKUU YA 8 YA TAJWEED QURAN

WASHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi Majlisil Quran Zanzibar(Picha na Ikulu)/
JAJI
Kiongozi wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar akitowa
maelezo kwa washiriki wa mashindano hayo kabla ya kuaza, yaliyofanyika
katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,
yaliyoandaliwa na Taasisi ya Majlisil Quran Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MSHIRIKI
wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar.Ustadh Hamad Juma Salum,
akishiriki katika mashindano hayo na kuibuka mshindi wa kwanza,
yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
WAUMINI
wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran
Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, yaliyoandaliwa na Taasisi ya
Majlisil Quran Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar,
wakati washiriki wa mashindano hayo wakisoma Quran, mashindano hayo
yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzxibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya
Maljisil Quran Zanzibar Sheikh.Said Nassor Said.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika
mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya
Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano
Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor
Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika
mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya
Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano
Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor
Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, na
(kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad kwa Mchina
Sheikh.Othman Maalim.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor
Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika
kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika
Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali
Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua
ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya
kumalizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar ,
yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi
ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said na Imamu Mkuu wa
Masjid Noor Muhammad Sheikh.Othman Maalim.(Picha na Ikulu)
Comments
Post a Comment