Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.



Wajumbe wa Kamati pamoja na Viongozi wengine wakiwa kwenye uzinduzi wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2023.
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.
Stergomena Tax, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na
Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi wa Utendaji Kazi wa Wizara
hiyo ya Mambo ya Nje mara baada ya uzinduzi, Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 31 Machi, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi
wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, baadhi ya Mabalozi pamoja na Watendaji wa Wizara hiyo mara
baada ya uzinduzi wa Kamati hiyo uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 31 Machi, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya kufanya tathmini ufanisi
wa Utendaji Kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki mara baada ya kuzindua Kamati hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni Balozi Yahya Simba (Mwenyekiti) wa pili
kutoka kushoto, Balozi Dkt. Mwanaidi Sinare Maajar wa pili kutoka kulia,
Balozi Peter Allan Kallaghe wa kwanza kushoto pamoja na Balozi Tuvako
Nathaniel Manongi wa kwanza kulia pamoja na Balozi Ramadhan Muombwa
Mwinyi watatu kutoka kulia.
Comments
Post a Comment