Posts

Showing posts from February, 2023

WAZIRI MKUU: BUNGE LITAMBUE MCHANGO WA ASASI ZA KIRAIA

Image
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akizungumza na Kamati ya Uongozi   na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao, katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson, akizungumza na Kamati ya Uongozi   na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Unguja, Zanzibar  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya Kamati ya Uongozi   na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu Kusini Unguja Zanzibar Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Uongozi   na Makamu Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Bunge, kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi hao, kwenye ukumbi wa Ofisi ndogo ya Bunge, Tunguu, Kusini Ungu

KINANA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA NA BURUNDI PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA KAMAT YA UONGOZI YA BUNGE LA TANZANIA

Image
  Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge leo wakati wakihitimisha Mafunzo ya Viongozi hao leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar. Mwenyekiti Wa TCD na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara  Ndg. Abdulrahman Kinana Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa vya burundi na Tanzania uliofanyika Zanzibar leo Februari 28 Mach 2023.  Mkutano huo umeandaliwa na kituo cha demokrasia Tanzania ( TCD)  na utajadili umuhimu wa majadiliano baina ya vyama vya siasa. (Picha na Fahadi Siraji CCM)

WASHINDI WA NMB “MASTABATAKOTEKOTE” WAKABIDHIWA TIKETI KWENDA DUBAI

Image
  Philbert Casmir Mkuu wa Idara ya Kadi Benki ya NMB akikabidhi tiketi za ndege kwa Chintan Kamania na mke wake Kaminy Chudasama pamoja na mtoto wao Eirny Kamania  baada ya kushinda bahati nasibu ya “Mastabatakotekote” aliyojishindia safari ya kwenda Dubai kwa ajili ya mapumziko,  Shindano hilo lilikuwa likiendeshwa na Benki ya NMB kwa wateja wake wanaofanya malipo ya huduma mbalimbali kwa kutumia Master Card ya NMB Philbert Casmir Mkuu wa Idara ya Kadi Benki ya NMB akizunguma wakati benki hiyo ilipowakabidhi washindi wa bahati nasibu ya “Mastabatakotekote” waliojishindia safari yakwenda Dubai kwa ajili ya mapumziko, Shindano hilo lilikuwa likiendeshwa na Benki ya NMB kwa wateja wake wanaofanya malipo ya huduma mbalimbali kwa kutumia Master Card ya NMB. Philbert Casmir Mkuu wa Idara ya Kadi Benki ya NMB akikabidhi tiketi za ndege kwa John Lubisha mmoja wa washindi wa  bahati nasibu ya “Mastabatakotekote” aliyojishindia safari yakwenda Dubai kwa ajili y

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI 6, IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Ukraine hapa nchini Mhe. Andrii Pravednyk, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ukraine Mhe. Andrii Pravednyk mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Slovak hapa nchini Mhe. Katarina Zuffa Leligdonova, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Slovak mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani

BALOZI DKT. CHANA ASISITIZA USHIRIKIANO KUFIKIA MALENGO YA SERIKALI

Image
  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) akimpokea Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma (Mb) alipowasili ofisini Mtumba jijini Dodoma Februari 28, 2023, mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Februari 27, 2023 Ikulu Chamwino. Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (Mb) akiongea na wajumbe wa Menejimenti mara baada ya kuwasili na kupokelewa katika Ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akimkabidhi vitendea kazi ikiwemo Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020 hadi 2025 Naibu Waziri wa wizara hiyo, Mhe. Hamis Mwinjuma (Mb) mara baada ya kuwasili ofisini Mtumba jijini Dodoma Februari 28, 2023 baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo

NAIBU WAZIRI NDEJEMBI, KATIBU MKUU NDUNGURU NA NAIBU KATIBU MKUU MTWALE WAANZA KAZI TAMISEMI

Image
SHARE Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deogratius J. Ndejembi, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Adolf H. Ndunguru na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Sospeter M. Mtwale wameripoti Ofisi za Wizara zilipo Mji wa Kiserikali Mtumba na kupokelewa na Menejimenti na baadhi wa Watumishi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Leo tarehe 28 Februari,2023. Hafla hiyo ya mapokezi imefanyika Ofisi ya Rais TAMISEMI Mji wa Serikali Mtumba na kufuatiwa na kikao cha menejimenti ambapo kitaingozwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Angellah Kairuki. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deogratius J. Ndejembi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI , Mhe. Angellah Kairuki katika Ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Serikali Mtumba – Dodoma, leo tarehe 28 Februari, 2023. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mi

TANZANIA KUANZA SAFARI ZA NDEGE MOJA KWA MOJA HADI SAUDI ARABIA

Image
  Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mhe. Ali Mwadini na Meneja Mkuu wa Masoko, Kanda ya Kati wa Shirika la Ndege la Saudi Arabia Bw. Abdulrahman Alabdulwahab wakikabidhiana zawadi baada ya kumaliza mazungumzo yao katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Mhe. Ali Mwadini akijadiliana jambo na Meneja Mkuu wa Masoko, Kanda ya Kati wa Shirika la Ndege la Saudi Arabia Bw. Abdulrahman Alabdulwahab katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@ Tanzania inategemea kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja hadi Saudi Arabia ambapo safari ya kwanza kati ya Dar es Salaam na Jeddah inatarajiwa kuanza tarehe 26 Machi 2023. Hayo yamebainishwa katika mazungumzo ya Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Ali Mwadini na Meneja Mkuu wa Masoko, Kanda ya Kati wa Shirika la Ndege la Saudi Arabia Bw. Abdulrahman Alabdulwahab na kujadili

HUDUMA ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA TUMEZIBORESHA SANA JIJINI DODOMA--MHANDISI ARON

Image
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa mazingira Mjini Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, akizungumza na wanahabari jijini Dodoma leo alipokuwa akizungumza uboreshaji wa huduma zinazotolewa na mamlaka hiyi kuwahudumia wananchi wa jiji hili ambalo ndilo makao makuu ya nchi. Mkurugenzi huyo alibainisha kwamba Jukumu la msingi la DUWASA ni kutoa huduma ya majisafi na uondoaji majitaka kwa wakazi wa Jiji la Dodoma na miji ya Chamwino, Kongwa na Bahi. Kwa sasa Jiji la Dodoma lina wakazi 765,179 (Sensa.2022) ambapo takribani 91% wanapata huduma ya Majisafi na salama (Kwa Mgao) na 20% huduma ya uondoshaji Majitaka. Mahitaji ya Maji ya Jiji la Dodoma kwa sasa ni lita 133,400,000 kwa siku, na yataongezeka hadi lita 417,308,000 kwa siku (Mwaka 2051)., HEBU FUATANA NA MIMI HAPO CHINI UJIONEE VIZURI HABARI YAKE KWA WANADODOMA Mhandisi Aron akiwafafanulia mambo wanahabari Wanahabari wakiwajibika wakati wakimsikiliza mkurugenzi @@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@  J