RAIS DKT.MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI KWENYE SWALA YA IJUMAA KATIKA MASJID AL SWAFAA
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Masjid AL
Swafaa Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi alipowasili na kushiriki katika Swala ya Ijumaa na Waumini waliuofika katika Msikiti huo .[Picha na Ikulu] 30/12/2022. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (kulia) akiagana na Sheikh Omar Abdi Abdalla aliyetoa khutba ya
Swala ya Ijumaa, Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi mara baada ya kujumuika na Waumini mbali mbali katika Swala ya Ijumaa leo (katikati) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waumini mbali mbali na Viongozi mara baada ya kujumuikanao katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
Wamini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kutoa salamu kwa Waumini hao mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waumini
wa dini ya Kiislamu mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika
Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na Waumini wa dini ya Kiislamu
wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar
Kabi (wa pili kushoto) mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa
katika Masjid Al Swafaa uliopo Gongoni Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
Comments
Post a Comment