KINANA AWAAMBIA VIJANA SOMENI SERA, ILANI ,KANUNI,KATIBA NA MWELEKEO WA CHAMA
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdulhaman Kinana, akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jiji la Dodoma (Mitumba)kwa ajili ya kufungua Mkutano wa uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa Chama hicho unaofanyika leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo na kulia ni Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi. . amewataka vijana kusoma sana na kukielewa chama nini kinataka na muwaelewesha washindani wenu ikiwa ni njkia ya kujenga nchi . Mkutano huo mkuu wa uchaguzi umehudhuliwa na vyama marafiki wa CCM, wakitokea umoja wa vijana wa vyama tawala, Msumbiji, Afrika Kusini, Burundi na Zimbabwe na vyama vya Siasa nchini vya CUF na NCCR-Mageuzi.
Wajumbe wa Mkutano huo wakimashangilia Ktibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha ANC, alipokuwa akizungumza akitema madini kuhusu kujikomboa kwa Waafrika kujiepusha na wakoloni. na kutana kiswahili kiwe ndiyo lugha sasa ya mawasiliano.
Chongolo akizunguza

Comments
Post a Comment