WABUNGE WAPYA WA BUNGE LA AFRIKA WAAPISHWA
Wabunge kutoka Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Mhe. Anatropia Theonest, Mhe.
Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani wakila kiapo kuwa
wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha
Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
Na Kadama Malunde – Midrand Afrika Kusini
Rais
wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune
Charumbira amefungua Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la
Afrika huku Wabunge Wabunge 11 kutoka Burundi, Morocco, Msumbiji,
Somalia na Tanzania wakiapishwa kuwa Wabunge wa Bunge la Afrika (PAP).
Mkutano
huo wa Bunge unafanyika katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika Midrand
Johannesburg Afrika Kusini ukiongozwa na Kauli Mbiu ya Umoja wa Afrika
ya Mwaka 2022 “Kujenga Uthabiti kwenye Lishe katika Bara la Afrika :
Kuongeza mtaji wa watu, maendeleo ya kijamii na kiuchumi”.
Wabunge
wapya wa Bunge la Afrika waliokula kiapo ni Mhe. Anatropia Theonest,
Mhe. Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani kutoka Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Bernardine Nduwomana(Burundi) ,
Mhe. Hannaa Benkhair (Morocco) Mhe. Sarfina Filipe Franco Chindaculema
(Msumbiji) , Mhe. Seneta Prof. Abdi Ismael Samatar, Mhe. Mohamed Jamal
Mursal, Mhe. Abdulrahman Mohamed Hussein, Mhe. Aden Mohamed Nur na Mhe.
Zamzam Muhumed Omar (SomaliA
Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP)
Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao
cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba
31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP)
Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao
cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba
31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini.
Rais
wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune
Charumbira (kulia) akiongoza Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la
Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge
la Afrika, Midrand Afrika Kusini.
Wabunge
kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Mhe. Anatropia
Theonest, Mhe. Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani wakila
kiapo kuwa Wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha
Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika

Mhe.
Bernardine Nduwomana kutoka nchini Burundi akila kiapo kuwa Mbunge wa
Bunge la Afrika leo wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida
cha Bunge la Sita la Afrika (PAP).
Mhe.
Hannaa Benkhair kutoka nchini Morocco akila kiapo kuwa Mbunge wa Bunge
la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge
la Sita la Afrika
Mhe.
Sarfina Filipe Franco Chindaculema kutoka Msumbiji akila kiapo kuwa
Mbunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha
Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
Wabunge
kutoka Somalia ambao ni Mhe. Seneta Prof. Abdi Ismael Samatar, Mhe.
Mohamed Jamal Mursal, Mhe. Abdulrahman Mohamed Hussein, Mhe. Aden
Mohamed Nur na Mhe. Zamzam Muhumed Omar wakila kiapo kuwa wabunge wa
Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha
Bunge la Sita la Afrika

Zifuatazo
ni picha Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe.
Chief Fortune Charumbira akiwakabidhi Bendera ya Bunge la Afrika Wabunge
wapya wa Bunge la Afrika (PAP)
Comments
Post a Comment