Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro , afungua mkutano wa kimataifa ulinzi na usalama kwa wanahabari

 


Waziri wa Katiba na Sheria  Dkt. Damas Ndumbaro , akifungua mkutano wa Kimataifa unaozungumzia Usalama na Ulinzi kwa wanahabari kwa nchi za Aftika Masharki na Kati, mkutano  unazungumzia Usalama kwa waandishi wa habari kulinda Maisha yaoa
Jenerali Ulimengu akimsikiliza Waziri Ndumbaro

Wanahabari wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa hapo

Mwongoza mada Dkt. Ananilea Nkya, akimtambulishaUlimwengu ili atoa mada yake
                             Jenerali Ulimwengu, akitoa mada iliyokuwa ikizungumzia ulinzi

Comments

Popular posts from this blog

AJIRA MPYA 41,500 SERIKALINI ZATANGAZWA KATIBU MKUU UTUMISHI JUMA MKOMI

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA