RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA MZEE RAMADHANI NYAMKA PAMOJA NA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la
Magereza (SACP) Mzee Ramadhani Nyamka Cheo kipya cha Kamishna Jenerali
wa Jeshi la Magereza (CGP) kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo
katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti,
2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka kuwa
Mkuu wa Jeshi hilo katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha
Majaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Majaji
wa Mahakama Kuu pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)
Mzee Ramadhani Nyamka wakila kiapo cha Maadili Ikulu Chamwino Mkoani
Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Majaji
wa Mahakama Kuu pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)
Mzee Ramadhani Nyamka wakiweka Saini kwenye viapo vyao vya Maadili Ikulu
Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
Viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi
la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka pamoja na Majaji Ikulu Chamwino
Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango,
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Jaji Mkuu wa Tanzania
Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad
Masauni, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga pamoja na Majaji
wa Mahakama Kuu aliowaapisha Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la
Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka mara baada ya kuapishwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu
Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Comments
Post a Comment