MKUU WA MKOA WA DODOMA ROSEMARY SITAKI SENYAMULE AWATAKIA SAFARI NJEMA AKINAMAMA WAKIANGLIKANA WANAOENDA KUTALII NGORONGORO
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, RoseMary Staki, amewapongeza wanawake wa dhehebu la Kianglikana kwa kitendo chao cha kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza utalii nchini, Mkuu huyo aliyasema hayo wakati akiagana na waumini hao wa kike 100 wanaoenda Ngorongoro kutalii utalii wa ndani
Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Centraly Tanganyika Kanisa la Anglikan, Dickson Chilongani, akizungumza katika hafla hiyo ya kuagwa wake wa wachungaji wa kanisa hilo wapatao 100 wanaoenda kutalii Ngorongoro kwa awamu ya kwanza, alisema kutakuwa na awamu tatu yawanawake na wanaume ambapo itachukuwa waumini 600 hadi kukamilika kwenda kutalii utalii wa ndani. Askofu alisema yawapasa wananchi wa Tanzania kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kitendo chake hiki alichokifanya sasa dunia yote inaiangazia Tanzania. Waumini wengi wanyama waliopo mbugani wanawaona katika picha tangu kuzaliwa kwao hawajawahi kuwaona kwa macho sasa ni muda sasa wa kujionea maajabu yaliyopo nchini, aliwaomba Chilongani.
Baadhi ya Wachungaji na Maaskofuwa Kanisa hilo wakiwa katika hafla hiyo
Waumini wa kanisa hilo wakimsikiliza mkuu wa mkoa
Mkuu wa Mkoa akimpatia msafiri anayeenda kutalii beji ya Rais Samia Suluhu Hassan , ambazo watazivaa wakiwa katika utalii wao huko Ngorongoro
Afisa wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kanda ya Dodoma, Zakayo Ikongo, akizungumza katika hafla hiyo
Askofu na Wachungajai wa Kaniksa hilo, wakimwombea rais Samia Suluhu Hassan na Mawaziri wake
Maafisa wa Hifadhi Ngorongoro, wakitoa zawadi ya Tsheti kwa wasafiri na kwa wachungaji pamoja na Askofu
Mkuu wa Mkoa akipewa zawadi ya T sheti
Mkuu wa Mkoa akipiga Picha ya pamoja
Askofu Chilongani, akizungumza na waandishi wa habari
Mchungaji Agnes , ambaye pia ni Mkuu wa msafara huo, akizungumza na waandishi wa habari ambapo alisema kutakuwa na awamu tatu za safari kundi la akina mama 100x3 kwenda Ngorongoro

Comments
Post a Comment