NMB CEO Ruth Zaipuna awarded African Baking CEO of the year 2022 (Tanzania)


 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mabenki Kenya Julius Alengo akimkabidhi tuzo Mweka Hazina wa benki ya NMB Aziz Chacha ambaye alipokea tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu Bora Afrika kwa Mwaka 2022 (Tanzania) kwa niaba ya Ruth Zaipuna ambaye hakuwepo, katika afla iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Nairobi.

 

 Dar es Salaam.
NMB Bank Chief Executive Officer - Ruth Zaipuna has been recognized as the African Banking CEO of the Year 2022 (Tanzania).

Ms Zaipuna was recognized as such during the Africa Bank 4.0 Awards at a ceremony that took place at the weekend at the Movenpick Hotel & Residences in Nairobi, Kenya.

Organised by BII World, the awards were part of the 8thAfrican Bank 4.0 Summit – CEO Exclusive.

 

BII World is a specialist provider of educational, research and consulting solutions to corporate and governmental organizations.

 

A statement, availed to the media from NMB Bank Plc headquarters in Dar es Salaam show that Ms Zaipuna was recognized for her individual credentials in spearheading NMB Bank Plc and for contributing a pivotal role in uplifting the banking industry overall.

 

The award was handled over by The Kenya Institute of Bankers CEO Julius Alengo and received by The NMB Bank’s Treasurer Aziz Chacha.



Speaking shortly after receiving the award on behalf of Ms Zaipuna, the NMB Treasurer, Mr Aziz Chacha said the award was dedicated to the bank’s stakeholders.

 

“In Ruth’s words, this award is dedicated to one of our greatest capitals, which is our people, our staff [NMB staff], without whom, this may not have been possible,” he said.

 

During Ms Zaipuna’s tenure, NMB Bank Plc has maintained its position as the most profitable banking entity in Tanzania. The bank says in its latest annual report that its profitability continued to go from strength to strength, reaching a profit after tax of Sh290 billion in 2021.

NMB Bank’s clients crossed the five-million mark in 2021 as the lender utilized digital means to reach an expanded segment of the unbanked population. The bank announced commendable gross rates across all the other performance parameters, including assets size, loans and advances as well as customers’ deposits while the level of Non-Performing Loans (NPLs) have been contained to within the regulatory thresholds.

The 8th African Bank 4.0 Summit – CEO Exclusive was a premium event drawing policy makers and higher authorities from Africa’s banking and fintech sectors for five days of workshops and forums where they discussed the way forward for progressing Africa during uncertain times by advancing digital inclusion on the continent.

 

Together with senior officials from the financial services sector, the summit also drew ministerial officials from relevant government bodies as well as regulators who participated in charting Africa’s digital banking future.

Information posted on the BII website at: https://www.biiafricabanksummit.com/ says those being honored arepioneers and visionaries who are going the extra mile to transform the Fintech industry and making access to finance in Africa accessible, innovative, convenient, and affordable. “We admire the great brains who are coming up with breakthrough technologies in every aspect of Fintech to provide better and enhanced digital inclusion. Technologies from startups, banks, and technology solution providers have ground-breaking research needs to grab the centre stage….,” the statement reads.



Kiswahili



Afisa Mtendaji wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna ashine tuzo ya Mkurugenzi Mtendaji Bora wa Kibenki Barani Afrika 2022

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, mwishoni mwa wiki alitangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji mkuu Bora Africa kwa Mwaka 2022 (Tanzania) katika kipengele cha benki na Uongozi wakati wa hafla iliyofanyika Ijumaa, Mei 27, 2022 katika hoteli Movenpick jijini Nairobi, Kenya.

Tuzo hiyo ilitolewa na Julias Alego Mkurugenzi Mtendaji Tasisi ya Mabenki nchini Kenya na kupokelewa na Mweka Hazina Mkuu wa benki ya NMB Aziz Chacha.

Akipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna , Chacha alisema, “Ni heshima kubwa sana kuwa nanyi usiku wa leo kupokea Tuzo ya “African Banking CEO of the Year 2022 (Tanzania)” kwa niaba ya Ruth Zaipuna, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc,”

Mara baada ya kupokea Tuzo Hiyo kwa niaba ya CEO wa NMB, Bwana Aziz Chacha alitoa tuzo hiyo kwa wafanyakazi wa NMB kwa kujitolea kwao na nia ya kuendelea kuwa mstari wa mbele wa vumbuzi, kuzingatia wateja, uthabiti, uaminifu, na usalama.

"Kwa maneno ya Ruth, natoa tuzo hii maalum kwa moja ya mtaji wetu mkubwa ambao ni wafanyakazi wa benki ya NMB ambao bila wao, pengine tusingekuwa hapa tulisherehekea,” aliongeza.

Alibainisha kuwa benki yake kwa miaka mingi imekuwa na mchango mkubwa katika kusaidia shughuli mbalimbali za kiuchumi katika sekta nyingi ikiwemo Utalii, elimu, kilimo, miradi ya kimkakati ya muda mrefu na afya.

"Ninatoa tuzo hii kwa wadau wa benki  ya NMB ambao wamejitolea kikamilifu katika azma yetu ya kubaki kweli bila kulinganishwa - benki imekuwa mstari wa mbele kwenye suala zima la ubunifu kwa kuzingatia wateja, uthabiti, uaminifu, usalama na usalama," aliongeza.

Zaipuna mnamo Machi 2022 alitajwa kuwa miongoni mwa wanawake 74 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika katika sherehe za wanawake wanaofanya biashara kubwa barani Afrika na data zilizotumika kutengeneza orodha hiyo ilitolewa kutoka Bloomberg kulingana na taarifa iliyotolewa na Africa.com.

Orodha hiyo iliwakilisha wanawake wanaofanya biashara kubwa barani Afrika. Biashara zote zinazoendeshwa na wanawake zenye Mapato ya USD100 milioni au zaidi.

Viongozi wengine wanawake waliotajwaa , ni pamoja Natascha Viljoen, Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Anglo American Platinum; Nompumelelo Thembekile Madisa, Afisa Mkuu Mtendaji wa Bidvest Group na Leila Fourie, Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Johannesburg.

Viongozi wengine wanawake wa Afrika Mashariki kwenye orodha hiyo ni pamoja na Mitwa Ng’ambi, Afisa Mtendaji Mkuu wa MTN Rwanda Telecommunications, Kendi Ntwiga-Nderitu, Mwakilishi wa kampuni ya Microsoft nchi, Kenya na Brenda Mbathi, nktugugenzi wa kampuni ya General East Africa.

Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA