Posts

Showing posts from February, 2018

SIMBA CEMENT YATOA MIFUKO 3000 KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI MKOANI SINGIDA

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani,Mwigulu Nchemba kushoto akipokea mifuko 3000 ya Saruji kutoka Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya elimu katika Jimbo lake la Iramba Magharibi leo katika anayeshughudia ni Meneja wa Kiwanda hicho Benny Lema Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba kushoto akipokea mifuko 3000 ya Saruji kutoka Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya elimu katika Jimbo lake la Iramba Mashariki leo katika anayeshughudia ni kushoto ni Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor Mtanga kulia ni Msaidizi wa Mbunge huyo Abdallah Salim Waziri wa Mambo ya Ndani,Mwigulu Nchemba kushoto akimkabidhi Msaidizi wake,Abdallah Salimu mifuko hiyo mara baada ya kukabidhiwa anayeshughudia katikati nyuma ni Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Sw

NAIBU SPIKA DK.TULIA ACKSON,AONGOZA WACHANGIAJI HOSPITALI YA NAMTUMBO ACHANGIA SHS.MILIONI 8

Image
  Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Namtumbo   Luckness Alima (watatu kushoto),   bango lenye fano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni kutoka kwenye taasisi yake kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi.    Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Namtumbo   Luckness Alima (wapili kushoto),   bango lenye fano wa hundi yenye thamani ya Sh milioni 8 kutoka kwenye taasisi yake kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi. Kulia ni Mbunge wa Namtumbo   Mhandisi Edwin.   Mkuu wa Mkoa Ruvuma Chilstina Mdeme akitoa shukurani kwa wadau mbalimbali waliojitokeza kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama Wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo. Hafra hiyo ilifanyika juzi. Mk