Wateja wa Tigo Kushinda Mamilioni ya Fedha Katika Promosheni ya Msimu wa Sikukuu
Mkuu
wa Malaipo ya Simu wa Kampuni ya Tigo Tanzania, Hussein Sayed, akizungunza na
waandishi wa habari wakati akitangaza Promosheni ya msimu wa Sikukuu ya Krismas kwa wateja wa kampuni
hiyo watakaofanya malipo kwa kutumia Tigo Pesa, mamzungumzo hayoi yalifanyika
jijini Dar es Salaam leo. (kulia ni Mkuu wa Bidhaa za Tigo James Sumali
Mary Rutta, akizungumza kwa wanahabari
PRESS
RELEASE
Tigo
Customers to Win Millions of Shillings with Tigo Pesa in new Festive Season
Campaign
·
Massive
prizes up for grabs for transactions done via Tigo Pesa
Dar es Salaam, 30th November, 2017- Tanzania’s leading mobile money service, Tigo Pesa is set to reward its
customers with millions of shillings this Christmas and New Year season through
an exciting new promotion dubbed ‘Transact
and Win With Tigo Pesa.’
The one month-long promotion will see three grand prize winners lining
their pockets with TZS 15 million, TZS 10 million and TZS 5 million each.
Additionally every day, one lucky Tigo Pesa customer will scoop the daily prize
of TZS 1million, with four others filling their pockets with daily prizes of TZS
500,000 each.
‘We expect a total of 153 winners in the one-month duration of this
promotion,’ Tigo’s Chief Officer - Financial Services, Hussein Sayed revealed while unveiling the campaign to the
media in Dar es Salaam today.
Customers will qualify for entry to the
daily and monthly draws by simply doing any outgoing transaction via Tigo Pesa.
‘The more transactions you make on Tigo Pesa, the more your chances to
win,’ Sayed elaborated. No conditions
apply.
‘We
are proud of our contribution in driving the financial inclusion agenda through
Tigo Pesa. Tigo pesa is more than
a payment solution. It’s a lifestyle. Hence we take all possible measures to
empower our customers. We are therefore delighted to once again offer our Tigo
customers these prizes, which will enable them to enjoy their festive season as
they continue to benefit from our digital lifestyle services,” he added.
These exciting prizes comes against the
backdrop of Tigo’s modernized network infrastructure, with Tigo’s key priority
hinged on listening to customer’s needs and always providing innovative and relevant
solutions to address those needs.
Tigo Pesa is Tanzania’s second largest
mobile money service provider that boasts a large network of over 70,000 merchants
and agents countrywide. The mobile money service transacts over TZS 1.7bn every
month.
-Ends-
About Tigo:
Tigo
Tanzania is Tanzania's leading digital lifestyle telecommunications company.
Tigo started its operations in Tanzania in 1995.
Through
its distinctive and diverse product portfolio in voice, SMS, high-speed
internet and mobile financial services, Tigo has pioneered digital innovations
such as the first Smartphone in Swahili, Free Facebook in Swahili, TigoPesa
App, Tigo Mobile App as well as the first East African cross-border mobile
money transfer with currency conversion.
For
3 consecutive years, Tigo has dominated market growth, becoming the second
largest operator in Tanzania. With an
aggressive expansion plan, Tigo launched 4G LTE network in Dar es Salaam and 24
cities around the country between 2015 and 2017. Tigo boasts a loyal 10 million
registered subscribers, and directly and indirectly employs over 300,000
Tanzanians including, an extended network of customer service representatives,
mobile money merchants, sales agents and distributors.
Tigo
is the commercial brand of a Swedish company Millicom, a multinational firm
championing digital lifestyle in 13 countries worldwide; with commercial
operations in Africa and Latin America and corporate offices in Europe and the
US.
Millicom’s
footprint in Africa spans 25 years and our Swedish DNA means we are
transparent, always act with integrity and abide to the highest ethical
standards.
Millicom
has invested over US$1,690, million in Tigo Tanzania since 2007 and is listed
on the Swedish Stock Exchange
………………………………………………………………………………………………………………
For
further information visit: www.tigo.co.tz or contact:
Woinde Shisael –
Corporate Communications Manager
Mobile: +255 713 123
431. Woinde.shisael@tigo.co.tz
………………… Mary Rutta, akizungumza kwa wanahabari
Wateja
wa Tigo Kushinda Mamilioni ya Fedha Katika Promosheni ya Msimu wa Sikukuu
Promosheni hiyo itakayodumu kwa kipindi cha
mwezi mmoja itashuhudia washindi watatu wa jumla wakijinyakulia vitita vya TZS
15 millioni, TZS 10 millioni na TZS 5 millioni kila mmoja. Pamoja na hayo,
kutakuwa na washindi wa kila siku ambapo mmoja atalamba donge nono la TZS
1millioni, huku wengine wanne wakijinyakulia TZS 500,000 kila mmoja, kila siku.
‘Tunatarajia kupata jumla ya washindi 153 katika
kipindi cha mwezi mmoja wa promosheni hii,’ Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Tigo,
Hussein Sayed alisema akizindua promosheni hiyo mbele ya waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo.
Wateja watapata nafasi ya kushinda kwa
kufanya miamala yoyote kutoka kwa simu zao kupitia Tigo Pesa. ‘Kadri ya
unavyofanya miamala mingi zaidi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kushinda ,’
Sayed alifafanua. Hakuna masharti.
“Tunajivunia mchango wetu katika kupanua wigo
wa upatikanaji wa huduma za kifedha nchini kupitia Tigo Pesa. Tigo Pesa ni
zaidi ya huduma ya kutuma na kupokea pesa. Ni sehemu ya maisha. Kwa hiyo tuna
furaha kubwa kuwapa fursa ya kujishindia zawadi hizi nono ambazo zitawawezesha
kufurahia msimu hu wa sikukuu huku wakiendelea kufaidika na huduma zetu bora za
kidigitali,’ aliongeza.
Zawadi hizi murwa zinakuja kwa nguvu ya
mtandao mpana na ulioboreshwa wa Tigo, huku lengo kuu la Tigo likiwa ni
kuwasikiliza wateja wake na kuwapa huduma za kisasa zinazoendana na mahitaji
yao.
Tigo Pesa ni huduma ya fedha ya simu za
mkononi ya pili kwa ukubwa nchini yenye mtandao mpana wa mawakala zaidi ya 70,000
waliosambaa kote nchini. Miamala ya takriban TZS 1.7bn inafanyika kupitia Tigo
Pesa kila mwezi.
-Mwisho-
Kuhusu
Tigo:
Tigo
Tanzania ni kampuni ya simu inayotoa huduma bora za maisha ya kidigitali nchini
Tanzania. Tigo ilianza kuendesha shughuli zake nchini Tanzania mwaka 1995.
Kupitia
huduma zake za kipekee za sauti, ujumbe mfupi, intaneti yenye kasi na huduma za
kifedha kupitia simu za mikononi, Tigo inaongoza kwa ubunifu wa kidigitali kwa
kuwa kampuni ya kwanza Tanzania kuzindua facebook na smartphone zenye lugha ya
Kiswahili, huduma ya TigoPesa, pamoja na huduma ya kwanza inayowezesha wateja
kufanya miamala ya fedha kupitia simu za mkononi kwenda nje ya nchi yenye uwezo
wa kubadili thamani ya fedha kwa sarafu ya nchi husika Afrika Mashariki.
Tigo
ni kampuni ya pili kwa ukuwa nchini na imekuwa kampuni ya simu inayokuwa kwa
kasi zaidi nchini kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo. Kupitia mkakati
mkubwa wa kupanua na kuboresha huduma zake, kati ya mwaka 2015 hadi 2016,
Tigo ilizindua mtandao wa 4G LTE jijini
Dar es Salaam na katika miji mingine 22 nchini
Tigo
inajivunia jumla ya watumiaji milioni 10 wa simu waliosajiliwa, na imetoa
nafasi za ajira za moja kwa moja na zile zisizokuwa na moja kwa moja kwa
Watanzania wapatao 300,000; hii ikiwa ni pamoja na wawakilishi wa huduma kwa
wateja, wafanyabiashara wakubwa wa fedha kupitia simu za mikononi, mawakala wa
mauzo na wasambazaji.
Tigo
ni nembo ya kibiashara ya Millicom, kampuni ya kimataifa inayoongoza mageuzi ya
maisha ya kidigitali katika nchi 13 duniani. Ikiwa inaendesha shughuli zake za
kibiashara katika bara la Afrika na Amerika ya Kusini, Ofisi kuu za Millicom
zipo Ulaya na Marekani.
………………………………………………………………………………………………………
Kwa
taarifa zaidi tembelea: www.tigo.co.tz au wasiliana na:
Woinde
Shisael – Meneja Mawasiliano
Simu:
+255 713 123431 Barua pepe:
Woinde.shisael@tigo.co.tz
……………………………………………………………………………………………………..
Comments
Post a Comment