JAKWAA LA WAHARIRI LAVULIWA NGUO NA MAKONDA
Katibu wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Neville Meena , akiwaeleza wanahabari ni kwanini wapo hapo kwa siku ya leo, hata hivyo kikao hiki kilihalibiwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda baada ya kukataa katakata kuomba radhi kwa kile alichokifanya eti hata angeshuka ..
hakika ashukuru wanahabari wa sasa wanasubra ingekuwa enzi zetu tunaaza uanahabari ninahakika angebaki ukumbini peke yake kwa kauli yake hiyo. Nini anachokilingia yeye ni binadamu kama binadamu wengine, hakuna neno tamu na zyri kama kuomba radhi hata ukiwa mkubwa kiasi gani uwe na mafeddha kiasi gani utajishushia hadhi kwa kitu kidogo chenye maneno au talakimu 8 tu na utajijengea heshima kubwa kwa maneno hayo ukiyatamka.
Hakika siku ya leo Jukwaa la Whariri TEF limepata aibu ya mwaka kuna msemo unaosema ukicheza na mbwa atakufuata hadi msikitini, leo makonda kawafuata hadi kwa waandishi wao wanaowatuna kila siku kwenda kwenye matukio mbalimbali zikiwemo zake Makonda amewavua nguo kwa kuwaambia hataomba radhi nini msg kwa wanaowatuma.
Mimi natoka Kanda ya Ziawa Ni Msukuma hata mimi amenitia aibu wasukuma hususan wakatoliki hatuna kibli cha namna hiyo akupigae shavu la kushoto mgeuzie la kushoto leo hii yeye hakuliona ni aibu Huenda makonda hakuota shikome wigashaga kubakema osossiranga ikube na bugali azugaga badala ya kujakudima na kushema mabere.
Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Theofil Makunga akizungumza
Hapa ndipo Makonda akiwavua ngua vibosire wa jukwaa hilo waliopo mbela hapo kwa kukataa kuomba radhi hapa utawaona jinsi walivyokaa na nyoyo zao nadhani hapa zikiwasuta
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo
Wanahabari wa TV wakiwajibika kwa matumaini ya kuombwa radhi
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (katikati), akiwafafanua jambo waandishi wa habari katika mkutano wa jukwaa la Wahariri na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jukwaa hilo Theophil Makunga na kulia Makamu wake Deodatus Balile
Hamkuniambia kama nitakutana na makonda hapa akiuliza
Baada ya mkutano kumalizika
Makunga akimwita Luge ili washikane mkono kama walivyofanya Tanga
Mkono wa kulazimishwa wakishangaa
Wakashikana kwa muda kisha kila mtu akachukua Time yake
Mashauliano wakiwa nje ya Hoteli walipofanyia mkutano katikati yta jiji la Dar es Salaam
Ruge akimwaga mboga baada ya kutoka nje akisema anamheshimu Rais na Tef lakini msamaha hajaombwa na yeye halijaisha hilo
ALI MAYAYI TEMBELE ATANGAZA KUANZA KAMPENI YA URAIS WA FF
aKIPIGA PICHA NA marafiki baada ya kuzungumza na wanahabari leo jijini Dar es Salaam
Mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Ali Mayay (watatu tokakushoto), akizungumza na mchezaji wa zamani wa yanga na Pan African Aldof Rishad kabla ya kuanza mkutano na waandishi wa habari kutangaza jana kutia nia. Hafla hiyo ilifanyika Dar esa Salaam . wengine toka kushopto ni Lawrence Mwalusako, Zamoyoni Mogela na Abed Mziba.

Comments
Post a Comment