MAHAFALI YA TANO YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KATIKA PICHA LEO

 Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Jenelali Mabeyo, akisalimiana na maofisa baada ya kuwasili chuoni hapo leo kwa ajili ya mahafali ya tano ya chuo hicho cha kijeshi, chuo huiki ni pekee  cha mafunzo ya usalama na  stratejia ya Kitaifa na Kimataifa, wahitimu kutoka Afrika na China
 Maofisa wa Jeshi la China wakiwasili
 Wasanii wa kikosi cha sanaa cha jeshi hilo wakitoa burudani
 Ofisi ya Mapokezi ya chuo jhicho
Waziri wa ulinzi Hussein Mwinyi, akisalimiana na mmoja wa viongozi wa chuo hicho Balozi Kalaghe

 Wakisubili kupokea wageni




 Mgeni rasmi akiwasilim kwa ajili ya mahafali hayo Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seiff Alli Idd
 Akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Balozi Martine Lumbanga





Wahitimu wakisaluti


 Wageni waalikwa ambao wengine ni mamwambata wa kijeshi kutoka nchi za nje wanaowakilisha nchi zao hapa chini
Mwenyekiti wa Bodi akitambulisha mahafali hayo
Makamu wa Pili wa Rais, akimsikiliza Mkuu wa Chuo hixho Meja Jenerali Mohamed

 Maandamano ya wahitimu kwa ajili ya kuanza mahafali


 Paparazi wa kesho wakiwa kazini
 Wageni waalikwa




 Wahitimu wa Diploma wakitambulishwa
 Wahitimu wa shahada ya pili wakitambulishwa



 Wahitimu wakishangilia hotuba
Mhitimu Bora kwa kwanza Sabina Seja akipewa zawadi 
 Akihutubia katika mahafali hayo




 Wahitimu wakisikiliza hotuba



Wakiondoka baada ya kumalizika 


Wakipiga picha ya kumbukumbu




 Waalikwa na waliowahi uwa wakuu wa jeshi hilo




 Mkuu wa Chuo akizungumza na wanahabari baada ya kumalizika mahafali



 Naibu Balozi wa Burundi Ndeyishimiye (kushoto), akipiga picha na mmoja wa wahitimu kutoka nchini kwake
 Mkuu wa chuo akifafanua jambo kwa waandishi
 Waziri wa mulinzi nae akizungumza na waandishi
 Mabeyo na Mwamunyange wakibadilishana mawazo



Comments

Popular posts from this blog

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

KADA MGEJA AHUDHURIA MAZIKO YA MAMA MZAZI WA MWANDISHI MWANDAMIZI WA HABARI KAHAMA