MATUKIO YA LEO
Mkurugenzi
wa tawi la CRDB Water Front Donath Shirima (kulia) akiwa pamoja katika
picha na wafanyakazi wa tawi hilo kuelekea maadhimisho ya wiki ya
wanawake duniani Machi 08 mwaka huu.
Wafanyakazi
wa wa tawi la CRDB Water Front katika picha za pamoja kuelekea
maadhimisho ya wiki ya wanawake duniani Machi 08 mwaka huu.
Muhamasishaji
wa kampeni katika wiki ya wanawake kutoka benki ya CRDB Mary Gekura
akiwa anatoa maelezo ya namna ya kufungua akaunti ya Malkia kwa
wanawake inayolenga kumnufaisha mwanamke.
Wateja wa benki ya CRDB wakipata huduma katika moja ya madirisha ya benki hiyo tawi la Water Front.Picha Zote na Zainab Nyamka.
Africa’s Richest Man, Dangote, happy with Magufuli’s leadership style.
By Staff Reporter-Tanzania Information Services- MAELEZO
African’s
wealthiest person, Alhaj Aliko Dangote said, on Sunday, that he was
content with the leadership style of President Dr. John Pombe Magufuli
and vowed to continue working with him and his government.
Welcoming
the president and his delegation at Dangote cement factory in Mtwara,
Alhaj Dangote said he was satisfied with every effort taken by the
President and his government to strengthen investment climate in the
country.
“It is
a great honor and privileged to our company to have been given such an
opportunity to make such a big investment in Tanzania which is worth US
$650m” Alhaj Dangote told the President.
He
added that his company was ready to continue supporting government
measures in addressing socio economic challenges as part of the
implementation of the company’s program of corporate social
responsibility.
Alhaj
Dangote told President Magufuli that currently the factory was producing
750,000 to 770,000 tons per year but this year production would be
raised to one million tons and in 2018 the factory would reach its
production capacity of three million tons per year.
On new
trucks, he said that the launching of the 580 trucks has given new hope
to many low income earners in the country because the trucks would
distribute cement all over the country and would allow to be sold at
fordable price of not more than ten thousand shillings.
Alhaj
Dangote further explained that since production started, cement prices
had dropped from shillings 15,000/= per 50kg bag to shillings 10,000/=
and expected to drop further following new planned distribution network
by the factory following the launching of the new trucks.
Meanwhile,
President John Pombe Magufuli has instructed Ministry of Energy and
Minerals and Tanzania Petroleum Development Cooperation (TPDC) to
allocate part of Ngaka coalmine in Mbinga District, Ruvuma region to
Dangote Cement Factory so that the later can produce coal to use in
cement production.
President
Magufuli issued those instructions during his tour at the factory
before officially launched 580 company’s trucks to be used to distribute
cement to various parts of the country.
He
gave the ministry and TPDC seven days to allocate the land and issue
mining license to the company and repeated his previous call that
Dangote should not buy natural gas through private companies apart from
TPDC.
“Dangote
must be granted mining license for coal and must have direct access of
natural gas from TPDC” He said and added that TPDC has to construct
special pipeline to supply natural gas to the factory.
He
insisted that direct supply of natural gas to the factory and access to
Ngaka coal mine, the company would be at liberty to choose between the
two in running the factory.
President
Magufuli said that it was high time that the responsible ministry and
its institutions take necessary measures to immediately make sure that
no other hindrance befall the factory.
He
noted that he has been informed of various setbacks facing the company
and cited delaying of clearance of company’s trucks for two months and
said he was surprised when he made a phone call to enquire about the
issue then they were immediately cleared.
He
however noted that the company’s management was to blame for some of
those problems facing the company and asked Alhaj Dangote to rethink of
his management.
“Mr.
Dangote, you a very a good person but people who are representing you
here are letting you down and it is probably that they are conspiring
with your competitors to deceive you” President Magufuli said.
President
Magufuli told Alhaj Dangote that it was unusual for a business company
to procure a number of trucks like he had done but surprisingly they
have been left unused and instead the company continued to outsource to
add more expenses to the company.
He
repeated his earlier call to Dangote’s management that they must
directly contact the government for their service needs instead of using
individuals or private companies as go between who he said were
enriching themselves and raised company’s production cost.
“Alhaj
Dangote kindly look carefully at your management; it uses middlemen who
cause you problems. I have already instructed the ministry to not sell
gas to middlemen. We want to directly supply gas to your factory that
you can produce electricity at the factory” emphasized the President.
In
December last year, President Magufuli met with Alhaj Aliko Dangote in
Dar es salaam to clear the air when there were various negative stories
published in the media about problems facing the company and it was
claimed that the company was about to close its business in the
country.
During
that meeting the President assured Alhaj Dangote of his commitment and
that of his government to continue to create conducive environment to
enable the factory to smoothly undertake its activities.
Dangote
cement factory situated at Msijute Village, Mtwara region in Southern
Tanzania is the biggest cement factory in the Southern African region.
President Magufuli was in fourth day of his four-day tour of Pwani, Lindi and Mtwara regions which started last Thursday.
NAPE NNAUYE AFUNGA FAINALI ZA KOMBE LA ULEGA CUP MKURANGA MKOANI PWANI
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia
wachezaji wa timu ya mpira ya Kisiju wakati wa fainali za Kombe la Ulega
zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia
Waamuzi wa mpira wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika
05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (katikati)
akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega wakati wa
fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga
Mkoani Pwani.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akimpongeza
Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega kwa juhudi zake za muleta
maendeleo kaaika jimbo lake na udahmini wake wa kuanzisha Kombe la Ulega
ambapo fainali za kombe hilo zimefanyika jana 05/03/2017 Wilayani hapo.
Mbunge
wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega akiongea na wageni waalikwa pamoja na
wakazi wa wilayani hapo kuhusu maendeleo ya jimbo lake na lingo la
kuanzisha Kombe la Ulega ambapo fainali za kombe hilo zimefanyika jana
05/03/2017 Wilayani hapo.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa katika
picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Kisiju Wilayani Mkuranga wakati
wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga
Mkoani Pwani.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwa katika
picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Tengelea Wilayani Mkuranga
wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani
Mkuranga Mkoani Pwani.
Timu
za moira za Kisiju na Tengelea wakichuana kuwania kombe la Ulega
lililoandaliwa na Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega ambapo fainali
hiyo imechezwa jana 05/03/2017 Wilayani hapo.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye pamoja na wageni
engine walioalikwa wakifuatilia mpambano kati ya Timu ya mpira ya
Kisiju na Tengelea wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika
05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
Baadhi
wa Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani wakishiriki zoezi la uchangiaji damu
05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge
wa Wilaya hiyo, Mhe. Abdallah Ulega.
Baadhi
wa Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani walioshiriki zoezi la uchangiaji
damu 05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na
Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe. Abdallah Ulega wakipokea zawadi za jezi na
doti za khanga ikiwa ni sehemu za motisha.
Mbunge
wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega (aliyevaa tisheti la bluu) akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani
walioshiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa fainali za
Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)
CDEA yawapiga msasa wabunifu wa mavazi na urembo wa Afrika Mashariki kwa ufadhili wa IIDEA 2017
Wabunifu
wa mavazi na urembo kutoka nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania na
Uganda, wamepigwa msasa wa namna ya kuendesha na kukuza fani zao kwenye
sekta za ubunifu na biashara mafunzo yaliyoandaliwa na Shirika lisilo
la kiserikali (Culture and Development East Africa -CDEA) la jijini Dar
es Salaam, kwa lengo la kuongeza ujuzi na elimu ya biashara pamoja na
masoko ambapo mafunzo hayo yanafadhiliwa na GIZ tawi la Afrika
Mashariki.
Awali
akizungumza katika mafunzo hayo ambayo yalikuwa ya siku nne, Mkurugenzi
Mtendaji wa CDEA, Bibi Ayeta Wangusa alishukuru na kuwapongeza
washiriki kwa kuchaguliwa kwenye mradi huo ambao ni wa kwanza na wa
kipekee katika ukanda wa Afrika Mashariki huku ukiwa chachu katika
kuinua uchumi kwa kupitia sekta ya ubunifu huku akiwataka washiriki hao
kuzingatia yale yote watakayofundishwa hususani suala la kutafuta masoko
nje ya mipaka ya nchi zao wanazotoka.
Mafunzo
hayo yalihusisha jumla ya ya washiriki 17 ambao walibahatika
kuchaguliwa waliweza kujengewa uwezo na mbinu mbalimbali ikiwemo
zaUbunifu wa mavzi, Biashara, Mtandao, Sheria na mbinu tofauti za kupata
ufadhili. Aidha, miongoni mwa walimu waliotoa mafunzo hayo, wakiwemo
Bibi Santa Anzo na Bibi.Bernadine Buzabo kutoka nchini Uganda, waliweza
kutoa mafunzo na mbinu za ubunifu na kufanya mauzo ya kazi zao ikiwemo
kwenye masoko tofauti ya ndani na nje ikiwemo Afrika, Ulaya na Amerika.
Washiriki
ambao ni wabunifu kutoka Afrika Mashariki akiwemo Andrew Kalema, Joyce
Gerald (katikati) na Makeke Jocktan wakifuatilia mafunzo hayo.
Washiriki
hao pia walipata wasaha wa kujifunza namna ya kuandaa Mpango wa kazi
zao za biashara na usajiri wa biashara ikiwemo kusajiri kampuni pamoja
na kujitengenezea majinna (branding). Mafunzo hayo ya siku nne,
yaliwawezesha washiriki kupata wasaha wa kutumia bidhaa halisi za ndani
ya nchi za Afrika Mashariki ikiwemo khanga zilizotengenezwa na pamba ya
hapa nchini Tanzania, Ngozi halisi ya mbuzi, Shanga na simbi ambazo
zitokanazo na zao la baharini ambazo pia zilikuwa kivutio katika kazi
zao hizo.
Kwa
upande wao waratibu wa mafunzo hayo, wamebainisha kuwa,wamedhamilia
kutumia bidhaa za asili ili kukuza uchumi katika ngazi zote za mnyororo
wa thamani katika sekta ya ubunifu wa mavazi na mitindo. Mradi huo pia
unajulikana kama Atamishi ya kazi za Sanaa (IIDEA) unaratibiwa na CDEA
kwa ufadhili wa GIZ East Africa, ukiwa na lengo la kukuza ujuzi na elimu
ya biashara kwa sekta ya filamu, muziki na ubunifu wa mavazi huku kwa
sasa ukihusisha nchi mbili za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania na
Uganda.
Mtendaji Mkuu wa CDEA, Bibi Ayeta Anne Wangusa akitoa takwimu za fashionomics kwa washiriki wa mafunzo hayo.
Kwa
sasa mafunzo hayo ya Atamishi ya kazi za Sanaa (IIDEA) yameanza na
masuala ya ubunifu wa mavazi na urembo ambapo pia yatafuatiwa na mafunzo
mengine ikiwemo Muziki na filamu. Mwisho. CODES: CDEA yaendesha mafunzo
ya IIDEA 2017 kwa wabunifu mavazi na urembo wa Afrika Mashariki
Wabunifu wa mavazi na urembo kutoka nchi za Afrika Mashariki ikiwemo
Tanzania na Uganda, wamepigwa msasa wa namna ya kuendesha na kukuza fani
zao kwenye sekta za ubunifu na biashara IIDEA 2017,mafunzo
yaliyoandaliwa na Shirika lisilo la kiserikali (Culture and Development
East Africa -CDEA) la jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuongeza ujuzi
na elimu ya biashara pamoja na masoko ambapo mafunzo hayo yanafadhiliwa
na GIZ tawi la Afrika Mashariki.
Awali
akizungumza katika mafunzo hayo ambayo yalikuwa ya siku nne, Mkurugenzi
Mtendaji wa CDEA, Bibi Ayeta Wangusa alishukuru na kuwapongeza
washiriki kwa kuchaguliwa kwenye mradi huo ambao ni wa kwanza na wa
kipekee katika ukanda wa Afrika Mashariki huku ukiwa chachu katika
kuinua uchumi kwa kupitia sekta ya ubunifu huku akiwataka washiriki hao
kuzingatia yale yote watakayofundishwa hususani suala la kutafuta masoko
nje ya mipaka ya nchi zao wanazotoka.
Kemi Kalikawe kutoka Tanzania akipitia mchoro wa mshiriki Clare Musila (Uganda) wakati wa mafunzo hayo.
Mafunzo
hayo yalihusisha jumla ya ya washiriki 17 ambao walibahatika
kuchaguliwa waliweza kujengewa uwezo na mbinu mbalimbali ikiwemo
zaUbunifu wa mavzi, Biashara, Mtandao, Sheria na mbinu tofauti za kupata
ufadhili. Aidha, miongoni mwa walimu waliotoa mafunzo hayo, wakiwemo
Bibi Santa Anzo na Bibi.Bernadine Buzabo kutoka nchini Uganda, waliweza
kutoa mafunzo na mbinu za ubunifu na kufanya mauzo ya kazi zao ikiwemo
kwenye masoko tofauti ya ndani na nje ikiwemo Afrika, Ulaya na Amerika.
Washiriki
hao pia walipata wasaha wa kujifunza namna ya kuandaa Mpango wa kazi
zao za biashara na usajiri wa biashara ikiwemo kusajiri kampuni pamoja
na kujitengenezea majinna (branding). Mafunzo hayo ya siku nne,
yaliwawezesha washiriki kupata wasaha wa kutumia bidhaa halisi za ndani
ya nchi za Afrika Mashariki ikiwemo khanga zilizotengenezwa na pamba ya
hapa nchini Tanzania, Ngozi halisi ya mbuzi, Shanga na simbi ambazo
zitokanazo na zao la baharini ambazo pia zilikuwa kivutio katika kazi
zao hizo.
Kebirugi Nina akishona vazi alilobuni.
Kwa
upande wao waratibu wa mafunzo hayo, wamebainisha kuwa,wamedhamilia
kutumia bidhaa za asili ili kukuza uchumi katika ngazi zote za mnyororo
wa thamani katika sekta ya ubunifu wa mavazi na mitindo. Mradi huo pia
unajulikana kama Atamishi ya kazi za Sanaa (IIDEA) unaratibiwa na CDEA
kwa ufadhili wa GIZ East Africa, ukiwa na lengo la kukuza ujuzi na elimu
ya biashara kwa sekta ya filamu, muziki na ubunifu wa mavazi huku kwa
sasa ukihusisha nchi mbili za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania na
Uganda.
Kwa
sasa mafunzo hayo ya Atamishi ya kazi za Sanaa (IIDEA) yameanza na
masuala ya ubunifu wa mavazi na urembo ambapo pia yatafuatiwa na mafunzo
mengine ikiwemo Muziki na filamu. Tazama hapa matukio mbalimbali ya
picha ya mafunzo hayo:
Washiriki na wataalamu wakibadilisha mawazo wakati wa semina magunzo hayo.
Bi Amal Mohamed kutoka Kenya akitoa mafunzo ya namna ya kupata Ufadhili kupitia ubunifu kwa wabunifu wa Afrika Mashariki.
Bi Bernadine Buzabo akiwasilisha mafunzo kwa washiriki kwa njia ya mtandao wa Skype kwa washiriki (Hawapo pichani).
Mmoja wa wanufaika wa ufadhili kupitia ubunifu kutoka Kenya Bwana James Otieno akitoa mafunzo kwa washiriki.
Baadhi ya washiriki Ester Kiula na Whitnery Gnaj wakifuatilia mafunzo hayo.
Mshiriki kutoka Uganda, John Okello akishona vazi alilobuni mwenyewe wakati wa mafunzo hayo.
Mshiriki akimuonesha mkufunzi kazi yake namna ya inavyovaliwa.
Mshiriki akipata maelekezo ya vipimo toka kwa mkufunzi.
Kemi Kalikawe akimuelekeza Catherine Mood Board.
Mshiriki Victoria Joseph akiwa kwenye ubunifu wake
Whitney Gnaj akijaribu vazi alilolibuni
Kemi Kalikawe akipitia mchoro wa Clare Musila
Wakili
masuala ya miradi na biashara Bi. Sia Mrema akifundisha kuhusu usajili
wa biashara na makampuni kwa washiriki hao ili kujitangaza zaidi hasa
kupitia majina yao ya ubunifu (brand).
Bibi
Santa Anzo ambaye ni mbunifu mkongwe na mahiri nchini Uganda akitoa
mafunzo ya namna ya wabunifu watakavyoweza kubuni ubunifu wao na kuuza
bidhaa zao katika masoko ya nje.
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania kipindi cha nyuma, Bi. Nasreen Karim akipitia kazi ya mwanafunzi Clare Musila
Aliyewahi
kuwa Miss Tanzania kipindi cha nyuma, Bi. Nasreen Karim akitoa mafunzo
kwa wabunifu hao (Hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya IIDEA 2017.
Mmoja wa walimu wakitoa mafunzo katika mafunzo hayo.
Vazi la mbunifu wa Tanzania Makeke Jocktan alilolibuni wakati wa mafunzo hayo.
Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Wabunifu wakiendelea na ubunifu wao
Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na wabunifu hao katika mafunzo ya IIDEA 2017
Baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na wabunifu hao katika mafunzo ya IIDEA 2017
Baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na wabunifu hao katika mafunzo ya IIDEA 2017
Baadhi ya vitu vilivyotengenezwa na wabunifu hao katika mafunzo ya IIDEA 2017
Kazi za wabunifu zilizofanywa na washiriki
Baadhi ya washiriki wabunifu na walimu wakipiga picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa CDEA, Bibi Ayeta Anne Wangusa.
Comments
Post a Comment