SIKU YA UBORA WA VIWANGO AFRIKA
Mkurugenzi wa Uborawa ViwangoEdna Ndumbalo akizungumza kabla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa isha kuhusu ubora wa viwango barani Afrika iliyofanyika leo makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam.
Wageni na waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Afisa wa Shirika hilo ambaye kwa leo alikuwa MC akitoa maelezo kuhusu washindi
Kaimu Mkurugenzi wa TBS Dk. Egid Mubofu,akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto ni aliyekuwa jaji mkuu wa washindi Dk Eugenia Kafanabo na kulia ni Edna Ndumbalo
Jaji Mkuu Dk. Euginia Kafanabo, akielezea jinsi mashindano yalivyoendeshwa
Baadhi ya washindi na washiriki wakisikiliza matokeo
Mshindi wa nneu akipewa zawadi
Mshindi wa tatu akikabidhiwa zawadi
Mshindi wa pili
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dk. Egid Mubofu, akimkabidhi Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Evarist Tairo, kompyuta mpakato baada ya kujinyakulia ushindi wa kwanza katika uandishi wa insha kuhusu ubora wa viwanda, makabidhiano hayo yalifanyika katika hafla ya siku ya ubora wa viwango barani Afrika iliyofanyika Makao Makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam leo
Maofisa wa shirika hilo na wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
Picha ya pamoja na washindi waliojinyakulia zawadi
Washindi na majaji wa shindano hilo

Comments
Post a Comment