VIWANDA VYA SAMAKI MWANZA
Vijana wakipakia Samaki aina ya Sangara waliokamatwa eneo la
Ilemela katika kiwanda cha kugandisha samaki cha Oswald Hakimu na kikosi cha
doria ya uvuvi Kanda ya Mwanza kutokana na kuwa chini ya sm 50 na wengine zaidi
ya sm85 kitu ambacho ni kinyume cha sheria, Picha na Lordrick Ngowi
Comments
Post a Comment