MTANANGE WA AZAM NA SIMBA TAIFA LEO

 Kiungo wa Simba Jonasi Mkude, (katikati) akiwania mpra na wachezaji wa Azam FC, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwnye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo na kutoka suluhu ya 0-0
 Wachezaji wa Simba na Azam FC, wakizozana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwnye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

 Mshambuliaji wa Simba Hamis Kizza, (kulia)akiwania mpira na beki wa Azam FC, Aggrey Moris, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa kwnye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam



Gabriel Moris akiokoa mpira mbele ya washambuliaji wa Simba Awadh Juma, Danny Lyanga
 




Goli kipa wa Azam FC  Aish Manula akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba Hamis Kizza

Comments

Popular posts from this blog

WALIOPITA KURA ZA MAONI CCM HAWA HAPA

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.