Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha wazindua kitabu na kutoa msaada Lugoba Sekondari
Marais wastaa wakibadilishana mawazo walipokutana katika hafla ya Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha. katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Transcendence kilichoandikwa na mwanazuoni wa India A.P.J. Abdul Kalam, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Subashi Patel, katikati yao akifurahia jambo
Viongozi wa Dini hiyo wakiwa katika uzinduzi huo
Mzee Andy Chande nae alikuwepo
Mzee Dk. Mengi nae alikuwepo katika uzinduzi huo
Wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi huo
Sadhu Brahmavihavidas kutoka Indiaakihutubia
Wageni mashuhuri wakiwa mbele
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, akimpatia zawadi Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwingi katika hafla hiyo
Subash Patel, katikati, akifurahia
Mwapachu nae akitoa zawadi
Mkuu wa Mkoa wa Said Meck Sadic, akimpatia zawadi Subash Patel
Filbert Bai, akimpatia zawadi mzee Chande
Emmanuel Nchimbi nae alikuwepo
Mneki, Rameshi Patel, akitoa zawadi nae
RPC wa dar es Salaam, Alfredy Tibaigana nae alikuwepo
Watoto wakionyesha uwezo wao
Waalikwa wakishuhudia uzinduzi huo wa kitabu
Watoto wakigawa vitabu
Viongozi wakiwa wameshikilia vitabu hivyo
Rais Mstaafu Ali hassan Mwinyi, akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabohara nchini ya Baps Swaminarayan Santha. Subashi Patel (kushoto), katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Transcendence kilichoandikwa na mwanazuoni wa India A.P.J. Abdul Kalam, hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi katika hafla hiyo Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, akisoma hotuba yake
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Asah Mwambene, nae alikuwepo
Baada ya kumalizika hafla
HAFLA YA UTOAJI ZAWADI KWA SHULE YA SEKONDARI LUGOBA
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Lugoba, Abdallah Sakasa, akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhiwa zawadi vifaa kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa shule hiyo zenye thamani ya sh Milioni 15. hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar es salaam na kuhudhuliwa na baadhi ya wanafunzi hao na wanajumiya ya dini hiyo
Mfadhili Mkuu wa shule hiyo Subashi patel, akisikiliza kwa makini
Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo
Sakasa na Subashi wakimkabidhi zawadi mgeni rasmi kutoka India
Wakiwasikiliza wanafunzi walipokuwa wakisoma shairi
Wanafunzi wakisoma shairi
Afisa habari wa Makampun i ya M.M. Stell Aboubakary Mlawa nae alikuwepo
Wakikabidhiwa msaada wa mashine hizo maalum kwa ajili ya kujifunzia
Mlezi Subashi patel, akizungumza
Subashi Patel katika hafla hiyo akizungumza
Wanajumuiya wakigawa zawadi kwa wageni
Mashine ya kujifunzia moja wapo iliyotolewa kwa shule hiyo
Mwanafunzi mwenyeulemevu wa macho Khaldi Sultani wa Shule ya Sekondari Lugoba Bagamoyo, akichapa kwa kutumia mashine maalum baada ya kupokea msaada wa mashine hizo kutoka kwa Sadhu Brahmavihavidas kutoka India (aliyeshika mashine) msaada huo unathamani ya Sh Milioni 15.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Aliyechuchumaa kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Abdallah Sakasa
Sakasa, akizungumza na wanahabari baada ya kumalizika hafla hiyo
Subashi na Sakasa, wakijadiliana jambo
Wanafunzi wakibadilishana mawazo
Comments
Post a Comment