WABUNGE WA CCM KATIKA MKUTANO WA KUMCHAGUA SPIKA DODOMA
MBUNGE MTEULE WA MAGUFULI TULIA ACKSON MWANSASU, AKIWAN UKUMBI WA WHITE HOUSE DODOMA LEO
Wabunge Hussein Bashe Nzega Mjini katikati , akibadilishanamawazo na wabunge wenzake kabla ya kuanza uchaguzi wa spika jana Aishi hilaly na Vick Kamata
Kamara na Nyarandu, wakizungumza ndani ya ukumbi wa mkutano
Sixtus Mapunda na Nkamia wakizungumza
Ezekiel Maige na Mwigulu Nchemba
Wabunge wakiwa ndani ya ukumbni wa mikutano
Zungu na Mwijage
Bashe, Nanuye na Silaa wakiwa kwenye mazungumzo
Wabunge kutoka Zanzibar, wakaimsikiliza kwa makini katibu mkuu wa Chama hicho alipokuwa akifungua kikao cha kumchagua Spika
Andrew Chenge, profesa Anna Tibaijuka . wakibadilishana mawazo na mgombea wa Uspika Job Ndugai kabla ya kuanza uchaguzi jana
Zungu na Nyarandu
Profesa,Sospita Muhongo, akibadilishana mawazo na mbunge mwenzake Hussein Nassor, wakisubili ufunguzi wa kikao cha spika jana katikati ni Pprofesa Stephine Ngonyani
Kamati ya maandalizi ya uchaguzi wa Naibu spika wakiwa kwenye maandalizi ya kumchangua jana
Majenge yakibadilishana mawazo Maprofesa Muhongo na Tibaijuka
Wanahabari wakiwa kazini
Balozi Adadi Rajabu ndani ya mjengo wa ccm
Lucy Mayenga, akibadilishana mawazo na wabunge wenzake Richard Ndassa na Sadiq Murrad, kabla ya kuanza uchaguzi wa Spika
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulahaman Kinana, akifungua kikao cha kumchagua Spika kwa upande wa chama hicho kilichofanyika Dodoma
Mgombea uspika Mwinyi
Abbas Mmwinyi, akimsindikiza mdogo wake
Ndugai ndani ya mawazo kabla hajapita bila kupingwa
Wanahabari wakimhoji baada ya kupitishwa
Akishangilia na wabunge wenzake

Comments
Post a Comment