DK. GADI AOMBEA MVUA NA AMANI NCHINI



Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote, Dk. Charles Gadi (kulia), akiongoza ibada maalum ya kuliombea taifa kulekea Uchaguzi Mkuu na masuala mbalimbali ikiwemo mvua, kuwaombea wagombea, ambayo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia), iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam juzi.  

Dk. Gadi, amewaomba watanzania kufanya uchaguzi wa amani ili Du ia ishuhudie jinsi tulivyo wamoja bila shaka na na mwenyezi mungu atatushushia mvua yenye amani isiyikuwa na mawaa.

Comments

Popular posts from this blog

Je, wajua kwamba Australia ni bara, nchi na kisiwa?

UNAMKUMBUKA AMINA CHIFUPA WA MPAKANJIAA.

AMANI YETU TUILINDE NAIBU WAZIRI CHANDE AZUNGUMZA KATIKA IJITIMAI JIJINI DODOMA